Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek nchini Namibia,




Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.




Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.


Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto.
 
Kwani si leo ndio 24.02.2024 Jumamosi? Kama anazikwa kesho basi tarehe haziko sahihi.
 
😲
 
R.I.P President

Dkt. Hage Geingob​

 
Nyie pigeni kelele umeme, maji, mafuta, sukari.
Mama ana upiga mwingi.
Ccm ni ile ile
 
Tunaangalia picha umeme ukiwa hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…