Picha: Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa Dharura SADC

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Picha mbalimbali Rais Samia Suluhu akishiriki mkutano wa dharura kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola leo Novemba 4, 2023.

Pamoja na mambo mengine, mkutano huo unajadili juhudi za SADC katika kuimarisha amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…