Picha: Rais Uhuru ajiachia na kula ugali kitaa

Mbona JPM alipo kula kwenye ule mgahawa wa airport pale mwanza hamkusema kama ni social sana ? tena yeye alinunulia wateja wenzake wote chakula pale.
sijaongelea social kwamba mambo ya migahawani nimeongeleaa lifestyle yake sio kama magufuli kama haujui sema nikuambie alivyosocial
 
Nikiangalia sura naona kama ni Wagikuyu wenzake. Angejumuka na Wajaluo na kuikung'uta dona hapo ingekuwa poa.
Kweli kabisa mkuu.
Alafu kaiga kutoka kwa Magufuli alivyokuwa uwanja wa Ndege Mwanza.
Na mtaiga kila kitu anachofanya Raisi Magufuli
 
Juzi tu hapa na yule mmiliki wa Fb alikula Ugali tembele huko Kenya
Nasikia aliumwa tumbo baada ya kula Ugali apo Kenya
Na akapatwa na mkosi wa satellite [emoji341] yake kuanguka
 
Huyu UK mie namhusudu sana pamoja na mapungufu yake kama Kiongozi wa nchi.
 
Niambie jinsi alivyo antisocial
alivyo social sio antisociall



huyu jamaa namfananisha naaisha anayoishi miraji kikwete kama wamjuuuu sasa huyu uhuru wakati baba yake ni raisi yy alikuwa anatoka ikulu anaenda kupga mastory na majamaa ulaiani mara alale huko huko .kwa maselaa full kunywa kulewaa nk na mpaka sasa yupo rais anaweza kuamuaa kwenda sehemu peke yake bilaa ulinzi kabsaa na wapnzan wake yupo nao social sana ..yeye anachoangaliaa ni nchi yake kuwa na maendeleo pia kwenye mikutano yake ya siasa utamuonaa tu ambavyo anajumuika na wasanii wenzake kwenda kucheza
 
Hivi unadhani hapo kwenye picha hakuna walinzi kweli????? Basi kwa taarifa yako jamaa anatembea na lundo la walinzi
 
Maskini Kinyatta ana mashoto
🙂🙂🙂
Acha hizo wewe,mbona obama mashoto hushtuki,na hela zake ndio zimechangia kukuletea umeme unaochargia tecno lako,huko mfaranyaki.A550LE!!.
 
Acha hizo wewe,mbona obama mashoto hushtuki,na hela zake ndio zimechangia kukuletea umeme unaochargia tecno lako,huko mfaranyaki.A550LE!!.
mbona unafoka sana? Obama mimi hanihusu hata kidogo wala kwa chochote. ni mtu tu wa kawaida. Bora nifikirie na kujali ya raisi wangu kenyatta. Upo?
 
Mipango ya kujiweka sawa kwa uchaguzi mkuu..

Huyu rais ndio zake siku zote, unaweza ukamkuta kitaa anajichanganya halafu hapo hapo ahudhurie kikao cha kimataifa baadaye na kutema yai huku amevaa suti hutaamini ndiye alikua pale kitaa anakula ugali. Hizi hapa picha zake nyingine anaendesha gari lake mwenyewe. Nyingine anakula chakula na masela jamaa wamekalia viti sio kama rais yuko pale
















 
Mbona JPM alipo kula kwenye ule mgahawa wa airport pale mwanza hamkusema kama ni social sana ? tena yeye alinunulia wateja wenzake wote chakula pale.
kwani tulimwabia awanunulie si kiherehere chake;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…