Picha: Rais Uhuru ajiachia na kula ugali kitaa

Picha: Rais Uhuru ajiachia na kula ugali kitaa

Mind misaada yote anayoidhinisha pres.Obama ni kwa MKONO HUO WA KUSHOTO,ndio hiyo hela unayochajia simu yako,na kupita barabarani kwenda kutafuta hela ya vocha ili tukuone hapa,unaliongeleaje hilo?
Akishaandika huo msaada unatolewa na mkono wa shoto?
 
iko poa sana hii,vipi hakuna mtu alimnunulia ``Mursiki`` na Managuu?

14355664_1398052096890006_2172731027352093631_n.jpg



14344727_1398072656887950_7231934378458373210_n.jpg


14329889_1398073040221245_1885124385610746302_n.jpg
 
Back
Top Bottom