Picha: Rais Uhuru Kenyatta amzawadia gari Mbunge John Mwirigi

Picha: Rais Uhuru Kenyatta amzawadia gari Mbunge John Mwirigi

When Jesus say YES nobody can say NO
hongera zakee akatekeleze ahadi alizozitoa kwa wana nchi wa jimbo lake tu
Mungu amasaidie na kumwezesha.
Unafikiri hata akisema Yes, mafanikio yatakuja tuu kwa kukaa kama unasubiri embe dodo lidondoke...?? Lazima uwajibike na kufanya kazi..


Do your Best and God will do the Rest
(Ora Et Labora.....Sala na Kazi)
 
...Je huwa uko tayari ku take risks? Huyu dogo kama sijakosea nilimuona kwenye TV za Kenya akifanya kampeni kwa mazingira ya kimasikini kweli ikiwemo kampeni kwa kutumia punda. Sasa wewe hata bahati nasibu za BIKO huchezi utapataje?
Dah mkuu
too risk kugombea Tanzania kwa stai hiyo. Kenya wana uelewa zaidi yetu sasa kama majimarefuuu dah any way hayaaa
 
Wee huna hoja mkuu. kwani unafikiri mtu wa Kibera ataweza kuhama aende kuishi Taveta kweli? Si ndio hao hao watu wa Kibera walijengewa nyumba za kisasa wakauza kwa mabwenyenye pia?
Walijengewa Bure? Wote? Kadanganye nyanyaako.
 
Wananchi wake wanakosa huduma mhimu kama afya mbunge anapewa gari. Utahira huo.
 
Duh Kenya hawakopeshwi kilimo kwanza kama bongo.l???

Kaonesha njia vijana wengi watajitokeza na wataaminiwa na watu. Afanye kazi sasa
 
Uhuru ni mzalendo mno na atashinda kwa kishindo october 17
 
Back
Top Bottom