Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

Mimi nijuavyo Uhuru Muigai ameshadungwa Astra Zenneca Samia nadhani zile Dua na Kaswida alizofanyiwa kule Unguja sijui kama zinaweza kumkinga.
We Bro unajikanyaga sana[emoji38] sema mama huenda ashapiga chanjo kimyakimya
 
picha zingine haziitaji mask
 
Mask inaharibu picha, sura haionekani vizuri.
 
Kwa Jiwe ilisemwa hivyo kuwa ameshachanja kisirisiri.
Hata Jiwe yawezekana lakini yule Jiwe alikuwa na magonjwa mengi tangia mwanzo, tangia kwenye kampeni hali ilikuwa tete. Ila La Mungu halikwepeki
 
Nani aliwadanganya kuwa unaweza kuzuia microscopic organism kwa kitambaa kinachopitisha hewa? Hakuna muhindi ambaye havai barakoa lakini wanapukutika sana
 
Hata Jiwe yawezekana lakini yule Jiwe alikuwa na magonjwa mengi tangia mwanzo, tangia kwenye kampeni hali ilikuwa tete. Ila La Mungu halikwepeki
Sasa hao wenye magonjwa mengi si ndio walengwa hasa wa hizo chanjo.
 
Nenda India kama unataka kuvaa barakoa!!!
 
Ina maana kufa ni ahadi. India wanakufa kama hawana akili nzuri wakati nchi yao ina miungu wengi, wengine hawana majina
India hawafi na korona wanauwa watu ili wachukue viungo kwa mwavuli wa korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…