mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
India inawatu Billion 1.6 Wakufa watu milioni 1 ni asiliamia ngapi ya population?Wewe unaamini kuwa barakoa ndiyo kinga ya wewe kutopata corona? Ingalikuwa hivyo corona ingalikuwa imeshatokomea zamani duniani. Ulaya, Amerika, India na Brazil wamezivaa sana barakoa kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini matokeo yake imekuwa ni ongezeko la visa vya corona. Na chanjo nazo hali imekuwa ni ile ile. India ndiyo nchi yenye kiwanda kikubwa zaidi duniani cha kutengeneza chanjo ya AstraZeneca lakini kwa sasa visa vya corona vimefikia watu nusu million kwa siku!