Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?View attachment 1773501
Wewe unaamini kuwa barakoa ndiyo kinga ya wewe kutopata corona? Ingalikuwa hivyo corona ingalikuwa imeshatokomea zamani duniani. Ulaya, Amerika, India na Brazil wamezivaa sana barakoa kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini matokeo yake imekuwa ni ongezeko la visa vya corona. Na chanjo nazo hali imekuwa ni ile ile. India ndiyo nchi yenye kiwanda kikubwa zaidi duniani cha kutengeneza chanjo ya AstraZeneca lakini kwa sasa visa vya corona vimefikia watu nusu million kwa siku!
 
Wamepima wanaaminiana
Kipimo cha PCR ni utapeli mtupu. Kina false positives na false negatives kibao ajabu na hata mvumbuzi wake alishalithibitisha hilo na kushauri kisitumike katika kushughulikia janga hili la corona akimuunga mkono aliyekuwa rais wetu JPM ambaye alibaini false positives results kwenye mapapai, kware na engine oil.
 
Mimi nijuavyo Uhuru Muigai ameshadungwa Astra Zenneca Samia nadhani zile Dua na Kaswida alizofanyiwa kule Unguja sijui kama zinaweza kumkinga.

Sasa aliyekwambia ukipata chanjo hupati Corona Nani. Muwe mnasoma na kusikiliza.
 
Wamepima wanaaminiana

Kama hamuishi nyumba moja , hata ukipima Sasa na kuwa negative... Social distancing na kwenye closed room masks Ni muhimu. Kupima corona Jana, au dakika 20 zilizopita hakukuondolei uwezekano wa kuwa na Virus. Sometimes you have to have hope in the midst of such dire situations.
 
Nyie wapuuzi.hao wapo ndani ya Ikulu ya Nairobi.Mbona walivyotoka kuongea walivaa.acheni umbumbumbu.
Sasa kwa akili yako walikuwa wanamaanisha nini kwa kutokuvaa barakoa kama si hakuna korona au covid 19 is negligible?
 

Barakoa zinasaidia mkuu. Shida kubwa, hasa hapa Ulaya Ni namna ya uvaaji Barakoa, aina ya Barakoa kurudia kuvaa barokoa hata kama zimepata moisture and little or no social distancing hasa kwenye baadhi ya maeneo mfano ndani ya Tram.
Pia, wazungu wengi wanadharau sana na huandamana Mara kwa Mara bila kuobserve Social distancing

Na nyuma kidogo wamama walikuwa wanafua zile Barakoa wanazovaa watu ukiingia ICU nk. Vijana wengi hawajali na wabishi. So usisikie tu ohhh. Lockdown nk. Mijitu Hii mibiishi na imechokaaaa sana.
 
Wamepima wanaaminiana
Kipimo cha PCR ni utapeli mtupu. Kina false positives na false negatives kibao ajabu na hata mvumbuzi wake alishalithibitisha hilo na kushauri kisitumike katika kushughulikia janga hili la corona akimuunga mkono aliyekuwa rais wetu JPM ambaye alibaini false positives results kwenye mapapai, kware na engine oil.
 
Mkuu barakoa inasaidia vp?
 
Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
 
Sasa kama huko ulaya wanafanya hivyo si utegemee huku kwetu si ndiyo balaq zaidi. Wanaazimana barakoa. Yaani ukirudi nyumbani unaivua barakoa yako unampa mwenzako anaivaa ili naye atoke. Barakoa moja inavaliwa kwa wiki moja hadi mwezi bila hata kufuliwa. Inavaliwa pua ikiachwa wazi. Inashikwa shikwa kila mara, tena inashikwa ile sehemu ya nje iliyo trap virusi vya corona na kadhalika. Yaani barakoa inakuwa ndiyo njia mojawapo ya kusambaza virusi. Masharti ya matumizi ya barakoa ni kwamba inabidi ibadilishwe kila baada ya masaa 2, yaani kwa siku unahitaji barakoa 12 na bei ya kila moja ni TZS 3,000. Kwa mtu anatakiwa kutumia TSh 36,000/ kwa siku wakati hata mlo wake kwa siku hauzidi buku moja!

Halafu sayansi inasema barakoa uliyoivaa haikukingi wewe bali inamkinga jirani yako usimwambukize utakapokohoa, kupiga chafya au kuzungumza naye kwa efficacy ya 30%. Huyo jirani yako kama ana virusi vya corona na hakuvaa barakoa na wewe umevaa barakoa, akikohoa au kupiga chafya hivyo virusi vyake vitakuingia bila kizuizi cho chote by 100%. Your face mask does not protect you but may protect others by being infected by you. Hii ndiyo dhana ya kisayansi kuhusu barakoa. Watu wengi hawaijui na wala hawaelimishwi vya kutosha kuhusu dhana hii nadhani kwa sababu za kibiashara. Watu wanaji feel (falsely) protected wanapovaa barakoa. Ni pschological protection only and not real protection.

The scientific rule about face masks: Kama unajua wazi kuwa jamii yako (community) haitaweza kumudu masharti ya uvaaji wa barakoa waambie wazi kuwa uvaaji wabarakoa ni hatari zaidi kwao, wasizitumie kwani barakoa zitasambaza zaidi virusi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…