Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Sasa unalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?Mjinga ni wewe ambae hujui sayansi ya kulinganisha vitu.

Sasa unanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Unalinganisha kifo changu na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
Ww ni Kibaka heri mwizi ana nafuu
 
Wewe una chuki tu, tokea Magufuli anaingia madalakani haukuwahi kuona mazuri yake hata moja badala yake unaona mabaya tu, hili nalo ni tatizo.
Mwenye chuki ni yeye ambae alikuwa anapambana kukuza ukabila,udini hadi ubaguzi wa rangi.Halafu tokea uhuru hakuna Rais ambae amepiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni.Ripoti ya CAG profesa Assad ilitufumbua macho kuwa Serikali ya Magufuli ilikuwa imeoza.
Lakini hata hivyo sote tutaondoka duniani kila mtu kwa wakati wake, kwahiyo usijuvunie sana.


Magufuli katangulia sisi zamu yetu inakuja jiandae.
Unanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani unalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?

Sasa unanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Unalinganisha kifo changu na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!Unalinganisha kifo changu mimi na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?

Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
 
Mwamba wa AFRIKA! Kwa lipi aliloifanyia AFRIKA?
Mwamba wa Africa amelala pale
Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala.
Nyinyi mna matatizo kwenye mbongo zenu.......
mna ma stress kila mkiona uzi wa Magu lazima mjambe

..
 
Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala.
Mkuu, tukikuita we mwendawazimu tutakua tumekosea
 
Mkuu, tukikuita we mwendawazimu tutakua tumekosea
Mwendawazimu ni Bwana Chato ambae:

1.Kaondoka duniani wakati hahitajiki.

2. Aliteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Alitesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Aliua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Aliua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Aliua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Aliiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Aliua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Alidanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Aliweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Aliua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Aliua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko.
 
Sasa unalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?Mjinga ni wewe ambae hujui sayansi ya kulinganisha vitu.

Sasa unanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Unalinganisha kifo changu na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
Makalio @makatoon
 
Kwahio Mama yako alivyo okota pochi barabarani saizi anahudhuria mikutano nakuhubili habari ya korona na bidhaa za viwandani kupanda bei mara dufu ndio nafuu kwako fala wewe
Mama kaanza kupanda pipa kitambo, tangu JPM akiwa bado yupo hai. Ana uzoefu wa uongozi wa kimataifa wa kitambo tu.
 
R.I.P jembe langu itachukua miaka mingi sana Tanzania kupata raisi jembe kama wewe
 
... sawa puliza hata DDT; nimeuliza swali rahisi sana; mwamba wa Afrika kwa lipi aliloifanyia Afrika? Na Nyerere tumwiteje?
Kwa hiyo hujui nyerere anaitwaje?
 
Back
Top Bottom