Mkuu, tukikuita we mwendawazimu tutakua tumekosea
Mwendawazimu ni Bwana Chato ambae:
1.Kaondoka duniani wakati hahitajiki.
2. Aliteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.
3. Alitesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.
4. Aliua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.
5. Aliua uhuru wa vyombo vya habari.
6. Aliua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.
7. Aliiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.
8. Aliua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.
9. Alidanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.
10. Aliweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.
11. Aliua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.
12. Aliua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.
13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.
14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.
15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.
16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?
17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.
18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.
19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.
20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.
21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.
22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.
23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.
24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.
25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.
Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko.