Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Nov 30, 2021 Thread starter #81 residentura said: Muulize Idugunde maana yeye ndiye mlinzi. Click to expand... Unatumia makalio kufikiria?
residentura said: Muulize Idugunde maana yeye ndiye mlinzi. Click to expand... Unatumia makalio kufikiria?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 19, 2022 #82 Dikteta mwenzako katangulia..una kitu cha kujifunza hapa.
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,679 Jan 25, 2022 #83 Huyo si Museven......kamwe hawezi kwenda chato...saana Mwitongo!!!!
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 25, 2022 #84 Siku ile kichwa kilikuwa kwa kule sasa imekuwaje tena, anyways naona imani zimefanyakazi. Mpeni salaam huyo Mheshimiwa M7.
Siku ile kichwa kilikuwa kwa kule sasa imekuwaje tena, anyways naona imani zimefanyakazi. Mpeni salaam huyo Mheshimiwa M7.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jan 25, 2022 #85 edwayne said: Kaburi limejengewa nyumba Click to expand... wakati ule likiwa kwenye mabati mlisimanga leo limejengewa bado roho za kiafrika zinawajaa kuandika any
edwayne said: Kaburi limejengewa nyumba Click to expand... wakati ule likiwa kwenye mabati mlisimanga leo limejengewa bado roho za kiafrika zinawajaa kuandika any
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,612 Reaction score 2,156 Jan 25, 2022 #86 Behaviourist said: Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala. Click to expand... Walimu feki jamaa aliwatumbulia mbali, yani walio faulu wapo halafu nyinyi ma-failure ndo mfundishe watoto wetu? muwaambukize ujinga?
Behaviourist said: Hakuna zawadi kubwa ambayo Mungu amewahi kuipatia Tanzania kama kutuondolea huu uchafu.Nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru huyu Mungu mkuu anaeishi na kutawala. Click to expand... Walimu feki jamaa aliwatumbulia mbali, yani walio faulu wapo halafu nyinyi ma-failure ndo mfundishe watoto wetu? muwaambukize ujinga?
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 27, 2022 #87 sikongefdc said: Walimu feki jamaa aliwatumbulia mbali, yani walio faulu wapo halafu nyinyi ma-failure ndo mfundishe watoto wetu? muwaambukize ujinga? Click to expand... Kama alikuwa mkweli mbona alishindwa kumtumbua Bashite na cheti chake fake?
sikongefdc said: Walimu feki jamaa aliwatumbulia mbali, yani walio faulu wapo halafu nyinyi ma-failure ndo mfundishe watoto wetu? muwaambukize ujinga? Click to expand... Kama alikuwa mkweli mbona alishindwa kumtumbua Bashite na cheti chake fake?