Picha: Rasta zinavyoweza kubadilisha muonekano kwa watoto

Picha: Rasta zinavyoweza kubadilisha muonekano kwa watoto

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina baba pia tuwapendezeshe watoto wetu kwa namna tofauti

2.jpg
WAT2.jpg
WAT5.jpg
 
Upumbavu mtupu...mtoto furaha yake imeumbwa na Mungu katika vitu rahisi/simple...mfano...michezo kwa vitu simple kama vifuniko vya vinywaji...pipi nk
Hayo mambo yenu ni kumuongezea complications za furaha yake ambazo hazimatch ama hazisupport brain growth needs zake katika maisha mwisho Wa siku unaweza spoil future yake yote

carnte himself
 
Jamaniii mwezi wa kumi na mojaufike namm nipate mtoto..
Daah atafaidi sana..
Kwa hiyo tukitoa miezi 9 nyuma inamaanisha umezini mwezi wa pili!?

brain is the beautiful part of the body.
 
ovyooo watu wazima tu wanalalamika je ivyo vitoto mnavipa Panadol pia? kujifananisha na kina north west wenye natural mnawakomaza watoto
 
Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina baba pia tuwapendezeshe watoto wetu kwa namna tofauti

View attachment 577220 View attachment 577221 View attachment 577222
Ziliwahi kumtoa mwanangu vipele karibu mara 3 zote nilizojaribu,sitaki hata kuzisikia ,acha tu atumie mama wototo,huyu mtoto atasuka akiwa mkubwa maana niliambiwa ngozi ya kichwa haijakomaa.
 
Hahaaaaa mule mule mkuu tena toka nimdunge mimba sijawahi ku do tenaa..
Unaweza hisi ni uji kiasi gani nilionao kwa Poumbou..Namsubiri mwanangu kama masihi..
Kwa hiyo tukitoa miezi 9 nyuma inamaanisha umezini mwezi wa pili!?

brain is the beautiful part of the body.
 
wamependeza ila sidhani kama nitaweza mfanya mwanangu hivi kwa kweli.. me mwenyewe maumizu nayopata kusuka haya madude mmh hapana

Nimeshamwamuru mama yake ampeleke mtoto wakazikate. Kwanza sura ya mtoto inakakamaa, nafikiri kuna maumivu kutokana na nywele kuvutwa wakati wa kusuka na hata baada ya kusuka. Uzuri mtoto mwenyewe aliridhia kukatwa nywele.
Hapo bado sijaongelea 10,000/= za kila wiki kuziweka hizo rasta sawa.

Watoto ulimbwende watafanya wenyewe wakishakua.
 
kabisa mkuu me mpaka nimejikuta kwa kukwepa kumkwanza mwanangu natamani madume tu
 
Back
Top Bottom