ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Usimsuke kwakweli mbona wanapendeza tu na nywele zao malaika wetukweli kabisa .simssuki mwanangu kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsuke kwakweli mbona wanapendeza tu na nywele zao malaika wetukweli kabisa .simssuki mwanangu kwa kweli
siku hizi dida anauza body cream za watoto eti.khaa unampaka mtoto cream?Usimsuke kwakweli mbona wanapendeza tu na nywele zao malaika wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee makubwa huyu shangingi nae akampakage mwanae hizo cream loo hivi mtu kabisa unafunga safari unaenda kununua cream chaasiku hizi dida anauza body cream za watoto eti.khaa unampaka mtoto cream?
Umeongea vyema kabisa mkuuUpumbavu mtupu...mtoto furaha yake imeumbwa na Mungu katika vitu rahisi/simple...mfano...michezo kwa vitu simple kama vifuniko vya vinywaji...pipi nk
Hayo mambo yenu ni kumuongezea complications za furaha yake ambazo hazimatch ama hazisupport brain growth needs zake katika maisha mwisho Wa siku unaweza spoil future yake yote
carnte himself
Umeongea vyema mkuuNimeshamwamuru mama yake ampeleke mtoto wakazikate. Kwanza sura ya mtoto inakakamaa, nafikiri kuna maumivu kutokana na nywele kuvutwa wakati wa kusuka na hata baada ya kusuka. Uzuri mtoto mwenyewe aliridhia kukatwa nywele.
Hapo bado sijaongelea 10,000/= za kila wiki kuziweka hizo rasta sawa.
Watoto ulimbwende watafanya wenyewe wakishakua.
Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina baba pia tuwapendezeshe watoto wetu kwa namna tofauti
View attachment 577220 View attachment 577221 View attachment 577222
Kote ni kumuongezea mtoto complications.... Ujinga mtupu