Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Hahaha aiseehJamaniii mwezi wa kumi na mojaufike namm nipate mtoto..
Daah atafaidi sana..
Kwa hiyo tukitoa miezi 9 nyuma inamaanisha umezini mwezi wa pili!?Jamaniii mwezi wa kumi na mojaufike namm nipate mtoto..
Daah atafaidi sana..
Ziliwahi kumtoa mwanangu vipele karibu mara 3 zote nilizojaribu,sitaki hata kuzisikia ,acha tu atumie mama wototo,huyu mtoto atasuka akiwa mkubwa maana niliambiwa ngozi ya kichwa haijakomaa.Sio lazima kila wakati watoto wetu tuwasuke vidole vya maputo au kuwavisha vikofia vilivyosukwa kwa uzi. Mtoto pia anaweza kusukwa rasta simple kabisaa na akapendeza vizuri. Kina mama hata kina baba pia tuwapendezeshe watoto wetu kwa namna tofauti
View attachment 577220 View attachment 577221 View attachment 577222
kweli kabisa .simssuki mwanangu kwa kweliKweli wanapendeza lakini mi naona nikuwatesa tu watoto jaman maana kuna mikono mingine inaumiza sasa hapo unakuta mtoto kavutwa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tukitoa miezi 9 nyuma inamaanisha umezini mwezi wa pili!?
brain is the beautiful part of the body.
wamependeza ila sidhani kama nitaweza mfanya mwanangu hivi kwa kweli.. me mwenyewe maumizu nayopata kusuka haya madude mmh hapana
kabisa mkuu me mpaka nimejikuta kwa kukwepa kumkwanza mwanangu natamani madume tuNimeshamwamuru mama yake ampeleke mtoto wakazikate. Kwanza sura ya mtoto inakakamaa, nafikiri kuna maumivu kutokana na nywele kuvutwa wakati wa kusuka na hata baada ya kusuka. Uzuri mtoto mwenyewe aliridhia kukatwa nywele.
Hapo bado sijaongelea 10,000/= za kila wiki kuziweka hizo rasta sawa.
Watoto ulimbwende watafanya wenyewe wakishakua.