Picha: Rasta zinavyoweza kubadilisha muonekano kwa watoto

Yani hapo mnamkomaza mtoto tu Mpaka afikishe miaka 15 Kama mtu mzma vile. By the way hiyo yote ili amridhishe nani?

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Kila kitu fake. Minywele ya makafara ya wahindi kuwatwika watoto
 
Umeongea vyema kabisa mkuu
 
Umeongea vyema mkuu
 
Uwiiii.. Jamani give these little angels a break and let them enjoy their childhood.. ya nini kuanza kuwabebesha kilo tano kichwani at that tender age? waacheni wakikua watafanya wenyewe.. kwa kweli as a parent hapana..
 

Ni kweli wanapendeza, ila kama unampenda mtoto wako nakushauri kutomsuka nywele, maana ngozi ya vichwa vyao bado laini, hivyo unapomsuka unadsturb misuli ya kichwa kitu ambacho kinaweza pelekea mishipa ya damu kuziba na kusababisha kifo
 
Mtt asiaukwe as wataalam wanadai sura zao ni laini i mean ngozi yao so wasukwe wakifika 12 au 18

Mwanang hasukwi ana liafrooo tuu
 
Mnawakomaza watoto sura kama kitoto ni kizuri ni kizuri tuu hata kisiposukwa kinaonenaka kizuri na kama sio kizuri kikisukwa kinaonekana kama ki MTU kizima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…