Picha: Rasta zinavyoweza kubadilisha muonekano kwa watoto

Mnawakomaza watoto na kuwaumiza tu
 
sura za hao watoto zimekuwa ngumu sana.. kwasababu ya kukazwa sana na msusi..
 
hizo rasta hazifai kuwafinya nazo watoto kichwani si nilisikia kuna mmoja alifariki baada misuri ya kichwa kukaza sana
Kabisaa jamani,binafsi siwezi kumsuka mwanang hata kidogo ukiliacha hilo watoto wanakomaa sura haraka sana
 
Huu ni utesaji wa wattoto waachane wakikuwa muwafanye hayo madudu
 
Mnatesa watoto , mwisho wa siku wanaharibu cognitive yao
 
kukomaza tu watoto!! shenzy mtoto kama hana asili ya nywele mnyoe para tu..akikua aamue mwenyewe!kusuka kunaumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…