Daaaah unga mbaya kakonda kaisha[emoji26] [emoji26]Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
nyuma kabisa kavaa guo refu na remba kichwani.Ray c ni nani hapo?
Mbona simuoni kiuno bila mfupa kwenye hiyo foto? Hivi hapo kwenye hiyo picha yeye ndio yupi?Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
Umri wake unabadilika kila uchwao..Hivi huyo Lady Jayzee ana umri gani? Maana anaonekana kibibi kweli!