Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki mkongwe nchini, Rehema Chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini Lady Jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
1460313801270.jpg
 
Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
Daaaah unga mbaya kakonda kaisha[emoji26] [emoji26]
 
Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamuzik lady jaydee amempa pole mwanamuziki mwenzio huyo ambaye alikumbwa na janga la madawa ya kulevya, na kumsihi akaze moyo hili arudi kama zamani waweze kulisongesha gurudumu la muziki pamoja
Mbona simuoni kiuno bila mfupa kwenye hiyo foto? Hivi hapo kwenye hiyo picha yeye ndio yupi?
 
Ni wazi Rayc karudi kwenye sembe
 
Lady Jaydee anakunywa maji mengi nini na kuendesha Range... naona mashallah...
 
Juzi yaani the day before yesterday nimemuona Ray C mwananyamala hospital akiwa na mateja wenzie kama watatu hivi. Asee yaani ni teja kabisaaa yaani teja kama wapiga debe unaowajua. Alikuwa kagombana na binti fulani basi Ray c anaropoka na kutukana hauwezi kuamini kwamba ni yule superstar.
 
Back
Top Bottom