Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Alipata unene wa ghafla baada ya kuacha mara kesha kuwa hivi? ni amini labda itakuwa ni mambo ya gym.Daaaah unga mbaya kakonda kaisha[emoji26] [emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipata unene wa ghafla baada ya kuacha mara kesha kuwa hivi? ni amini labda itakuwa ni mambo ya gym.Daaaah unga mbaya kakonda kaisha[emoji26] [emoji26]
Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
Sio picha yao ya zaman?Alipata unene wa ghafla baada ya kuacha mara kesha kuwa hivi? ni amini labda itakuwa ni mambo ya gym.
Amerudi tena kwenye unga, kwa kasi ya ajabu. Sasa sijui atasaidika vipi tena.Sio picha yao ya zaman?
Naona na mimi niji aminishe hivyo maana nashindwa hata kushangaa, lakini walikuwa na kaji ushindani hawa watu kama ilivyo flani na flani sasa hivi, wasinge onekana pamoja kama hivi miaka ya iliyopita.Sio picha yao ya zaman?
Na ukizingatia mhisani kesha ondoka, ila ah!wapi Babu Tale iko Gonjwa ingine hapa.Amerudi tena kwenye unga, kwa kasi ya ajabu. Sasa sijui atasaidika vipi tena.
Atakuwa karudia sembe kipindi amenenepa alikuwa anatumia method one ya kutibu zile hunenepesha sanaAlipata unene wa ghafla baada ya kuacha mara kesha kuwa hivi? ni amini labda itakuwa ni mambo ya gym.
Ray C nilikua namkubali mno enzi hzo na nyimbo zake kama ule uko wapi nikufate video shoot yake aliifanyiaga China na hilo jicho lake tukiwaga shule sasa kila MTU Ray C na kiuno bila mfupa. Dah ngada mbaya mno maskini Ray CSeriously ray c hata kama hatarudi kwenye game her legacy shall stay forever...
Ray c alikuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuanza kufanya video nje enzi hizo.. daaah haya maisha jamani
Nakumbuka aunty yangu alikuwa akipenda sana nyimbo zake na alikuwa ana album zake zote, akanifanya na mimi nizipende..
Mungu amjalie apone, we all make mistakes,
Oh! nime kuelewa asante.Atakuwa karudia sembe kipindi amenenepa alikuwa anatumia method one ya kutibu zile hunenepesha sana
Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
Hiyo ni picha ya leo na kuna sehemu niliona nyingine ni yeye na ni wazi karudi Ungani!Naona na mimi niji aminishe hivyo maana nashindwa hata kushangaa, lakini walikuwa na kaji ushindani hawa watu kama ilivyo flani na flani sasa hivi, wasinge onekana pamoja kama hivi miaka ya iliyopita.
Mi naupenda sana ule unaitwa mapenzi matamu... Ray C alikuwa anatoa hits tuu, kuna kipindi hadi jide alikuwa anakaa sema basi watu walikuwa wanamdiss Ray C kwa kuwa alikuwa sista duu kinoma and of course alikuwa anachafua boxa zao huku wakijua hawatompata..mRay c nilikua namkubali mno enzi hzo na nyimbo zake kama ule uko wapi nikufate video shoot yake aliifanyiaga China na hilo jicho lake tukiwaga shule sasa kila MTU ray c na kiuno bila mfupa. Dah ngada mbaya mno maskini ray c
Kaokoka lini? mbona kwa maelezo ya Lady Jaydee kwenye iyo picha ni wazi kwamba Ray C karudi kwenye unga!?Tusimlaumu,huyu binti ameokoka na taratibu anabadilika,Usimcheke mamba hujavuka mto,wewe unacheka kumbe kakato ama dadayo yu atumia poda,eeh,tena si tuombe Mungu tuokoke maisha yaende.Hongera komandoo J dee,huo ulikuwa mpango wa Mungu Ray C kuwa hivyo ili amgeukie Mungu
Hata mimi nimeliona hili mkuu, hata kama ni diet basi alikaa siku 40 bila kula kama masiiNi wazi Rayc karudi kwenye sembe