Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Seriously Ray C hata kama hatarudi kwenye game her legacy shall stay forever...

Ray C alikuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuanza kufanya video nje enzi hizo.. daaah haya maisha jamani

Nakumbuka aunty yangu alikuwa akipenda sana nyimbo zake na alikuwa ana album zake zote, akanifanya na mimi nizipende..

Mungu amjalie apone, we all make mistakes,
 
Sio picha yao ya zaman?
Naona na mimi niji aminishe hivyo maana nashindwa hata kushangaa, lakini walikuwa na kaji ushindani hawa watu kama ilivyo flani na flani sasa hivi, wasinge onekana pamoja kama hivi miaka ya iliyopita.
 
Ray C nilikua namkubali mno enzi hzo na nyimbo zake kama ule uko wapi nikufate video shoot yake aliifanyiaga China na hilo jicho lake tukiwaga shule sasa kila MTU Ray C na kiuno bila mfupa. Dah ngada mbaya mno maskini Ray C
 
Naona na mimi niji aminishe hivyo maana nashindwa hata kushangaa, lakini walikuwa na kaji ushindani hawa watu kama ilivyo flani na flani sasa hivi, wasinge onekana pamoja kama hivi miaka ya iliyopita.
Hiyo ni picha ya leo na kuna sehemu niliona nyingine ni yeye na ni wazi karudi Ungani!
 
Tusimlaumu,huyu binti ameokoka na taratibu anabadilika,Usimcheke mamba hujavuka mto,wewe unacheka kumbe kakato ama dadayo yu atumia poda,eeh,tena si tuombe Mungu tuokoke maisha yaende.Hongera komandoo J dee,huo ulikuwa mpango wa Mungu Ray C kuwa hivyo ili amgeukie Mungu
 
Ray c nilikua namkubali mno enzi hzo na nyimbo zake kama ule uko wapi nikufate video shoot yake aliifanyiaga China na hilo jicho lake tukiwaga shule sasa kila MTU ray c na kiuno bila mfupa. Dah ngada mbaya mno maskini ray c
Mi naupenda sana ule unaitwa mapenzi matamu... Ray C alikuwa anatoa hits tuu, kuna kipindi hadi jide alikuwa anakaa sema basi watu walikuwa wanamdiss Ray C kwa kuwa alikuwa sista duu kinoma and of course alikuwa anachafua boxa zao huku wakijua hawatompata..m

Ray C tafadhali kaa chini na jaribu kujiweka sawa uyashinde nguvu madawa
 
Kaokoka lini? mbona kwa maelezo ya Lady Jaydee kwenye iyo picha ni wazi kwamba Ray C karudi kwenye unga!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…