Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Yes ni kweli. Lakini yeye mwenyewe hajawahi kusema..hata akiulizwa huwa hasemi.
Kuna kipindi aliwahi kuulizwa akasema ana miaka 37..Hapo ni miaka kama mitano iliyopita..Labda alikuwa anazingua
 
Naona ndio anarudi enzi zake sio vile alikua bongeee jeupeee
 
Watanzania mnahurumaaa asee kuna vitu MTU anafanya kwa uelewa mtu anafanya na kuna vya kutoka tuu
 
Anaendeleaje..si nasikia asubuhi ya leo alikimbizwa Muhimbili??? Daah dada njia uliuoichagua imekughalimu daah
 
Back
Top Bottom