Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

Juzi yaani the day before yesterday nimemuona Ray C mwananyamala hospital akiwa na mateja wenzie kama watatu hivi. Asee yaani ni teja kabisaaa yaani teja kama wapiga debe unaowajua. Alikuwa kagombana na binti fulani basi Ray c anaropoka na kutukana hauwezi kuamini kwamba ni yule superstar.
Yule maarufu sio supastaa
 
kuna uchochoro wake hapo wenye gereji bubu
 
Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
Rekebisha kauli yako...kuumuka gani???hujakutana na chura!!!!
matako_chura_utamu_2016-04-09_17-00-59_zpskbqmcq5h.jpg

Back to the topic
Ray c kajikondesha au ndo bado anakula ngada???
 
Kuna kipindi wote walikuwa wasanii Na wote walikuwa watangazaji wa wafu fm enzi wafu fm ipo magarofani
 
Weh! Mbona jay dee kwenye picha hii kidude (kitako) kimeonekana kuumuka sana ??? Au photoshop ?? Dah, wakubwa wanafaidi
aise utazani tulikua tunafikiri pamoja nimeona kimpododo cha jide aise ni noma mdau
 
amekonda mpaka hilo gauni alilovaa linaonekana kama limening'inia kwenye henka vileee
 
Mbona kapungua ivyo... Jamani mi namuombea tu apone jamani.. Sipendi habari mbaya za kumuhusu yeye.
Jamani huyo ndo Ray C wasasa???? Sa mbona kakonda ivo au ndo diet ya Mange..mwee shikamoo Shkuba and associates
amekonda mpaka hilo gauni alilovaa linaonekana kama limening'inia kwenye henka vileee
Wabongo mnataka nn?kipindi kile kawa bonge mlichonga nao kapungua mnachonga???
 
Huyu Ray C alikua anagombea ubunge kupitia chama gani cha UKAWA?
 
Back
Top Bottom