Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Lbda vitakuja kuvuta meliMbona vimekaa kama vichwa vya kambale
Hii Korea naona kama itakuwa ya Kaskazini vile.View attachment 2695396Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani!
Haya, kichwa chenu hicho hapo.
Nimewaambia wahusika. Hilo nalo waliangalieNa hao wanaokwenda kukagua tangia huu mchakato uanze huenda hizo gharama zingetupatia vichwa vingine nane
Cha kizamani mbona?View attachment 2695396Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani!
Haya, kichwa chenu hicho hapo.
Huyo kamanda uchwara hajui alisemalo; inafaa kumhurumia๐Icho ni kichwa cha mizigo, zunguka dunia mzima vichwa vya treni ya mizigo huwa Viko hivyo.
Unajuaje pesa iliyopelekwa kama sio ya kuweza kununua genge zima let alone biriani ? (Unajua cost ya hilo dude na mchakato mzima mpaka leo) ? Binafsi sijui ila sitashangaa nikiambiwa kwa pesa iliyoshachomwa, tungeweza kupata maradufu ya tunachopata (Hio ni kawaida ya hii nchi ya wapiga deals)Unataka biriani kwa hela yako ya ugali dagaa?
Naaam uko sahihi kabisa.Icho ni kichwa cha mizigo, zunguka dunia mzima vichwa vya treni ya mizigo huwa Viko hivyo.
unajaribu kusema niniHivi unaweza kukagua kitu ambacho hujui jinsi ya kukitengeneza?
๐๐Mkuu nimeeleweka vizuri sana. Unaweza kukagua kitu ambacho hujui jinsi ya kukitengeneza na kuweza kukosa au kusifu?unajaribu kusema nini
kwa nini hamna uzalendo ndugu?๐๐Mkuu nimeeleweka vizuri sana. Unaweza kukagua kitu ambacho hujui jinsi ya kukitengeneza na kuweza kukosa au kusifu?
Tunaongelea utaalamu mkuu sio uzalendokwa nini hamna uzalendo ndugu?