Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hizo ni imani za watu wengine ndugu..hata kama wako tafauti na wewe haimaniishi kwamba wewe upo sahihi katika imani yako hapana.Sisi sote tunaelekea mahali moja kwa njia tofauti hivyo hakuna sababu ya kuzua vurumai kwa binaadam wengine halafu wewe utarajie kuwa bora hapana. Heshimu mipaka yako juu ya shughuli za wengine uwapo duniani.Mimi sijazalau imani ya mtu mwingine,najalibu kulinganisha hivi vitu Kwa kizazi cha sasa hivi je vinauhalali wa kuwepo,au kutumika,inawezekana watu wengi wamechoshwa na hayo mambo ya sanamu lakini hawana pa kusemea