PICHA: Republican waanza kuabudu sanamu ya dhahabu ya Trump

PICHA: Republican waanza kuabudu sanamu ya dhahabu ya Trump

Status
Not open for further replies.
Ndio maana Watanzania tunadharaulika kwa kuwa simple minded. Hiyo picha ni Photoshop.

Ungekuwa unajua kidogo walau waliopo kwenye picha na kutumia chembe ya ubongo wako usingewapaka matope bure.

Chukua na hii kapige photoshop halafu useme Trump amekuwa mungu kabisa ili ufurahie zaidi

View attachment 1715344
Uwezo wa ku reason hawana kabisa wamekuwa social media crybabies,kila bandiko wakiwekewa wanakula kama lilivyo.Mtu anashinda kuangalia yale mashoga ya CNN ndio source yake ya habari,unafkiri atakuwa timam kweli??..
 
Na wewe ulivyo kiazi mbatata unaamini kabisa hiyo picha ni real sio photoshop.Sasa wewe una akili gani kuwazidi wafuasi wa Trump??
Subishani na 💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩
 
Hivi hapo kuna tofauti na wale wenzangu Wakatoliki, naomba nisaidiwe kwa wajuzi wa mambo.
Pia hakuna tofauti na waislamu wanaoabudu mawe mawili meusi (Safaa na Marwa) yaliyopo ndani ya Kaaba huko Makka.

Kila muislam popote duniani anapoinama kuelekea Kibla hua analisujudia Kaaba ambalo ndani yake jumba hilo jeusi kuna hayo mawe.
Hiyo ni ibada ya sanamu ya wazi kabisa na wao waislamu wanadhani ni siri kumbe ni bayana.
Waislam nao wanaabudu sanamu!
 
Republican imezidi kuwa cultish, wanachama wake wengi wamezidi kuzama kwenye conspiracy theories kama za areafiftyone
 
Republican imezidi kuwa cultish, wanachama wake wengi wamezidi kuzama kwenye conspiracy theories kama za areafiftyone
Naona unanihusudu mpaka unani-mention kwenye comment, Yes, baba yako Shetani namgaragaza kisawasawa, na bado. Anyway kuni-ridicule shishangai, ndizo mbinu mlizofundishwa na baba yenu Shetani kutukatisha tamaa wale informed, tunaofichua siri zake.We will not surrender, ndio kwaanza asubuhi.
 
Republican imezidi kuwa cultish, wanachama wake wengi wamezidi kuzama kwenye conspiracy theories kama za areafiftyone
Hivi kuuza roho yako kwa Shetani imekusaidia nini,kupata fame na material goods halafu ukose mbingu?How stupid of you.
 
Bado sijakuelewa mpaka sasa, unakuwa mmoja wa watu mnaosababisha niendelee kusimamia msemo huu ...
"No research No right to speak"
Ok ngoja niongee kwa lugha rahisi. Hiyo picha ni ya kughushi. Hicho kitu hakipo. Kuna wachungaji hapo ambao ni wanaheshimika na Wakristo wengi na hawapendwi na media kma CNN kwa sababu ya support yao kwa DJT. Unadhani kirahisi tu waabudu sanamu na kusiwe na backlash?

Wana bodi zinazosimamia hayo makanisa. Unadhani wangeachwa waendelee kuchunga makanisa huku wakifanya upagani.

Kukusaidia kifupi ni kuwa 1. Picha ni feki 2. Tukifumbia macho na 1, kungekuwa na zogo sana Marekani kama ingekuwa kweli kwa sababu hao sio "watu wadogo"

Kama sijaeleweka mpaka hapo tubaki kutoelewana tu!
 
Uwezo wa ku reason hawana kabisa wamekuwa social media crybabies,kila bandiko wakiwekewa wanakula kama lilivyo.Mtu anashinda kuangalia yale mashoga ya CNN ndio source yake ya habari,unafkiri atakuwa timam kweli??..
Kuna haja ya kufundisha critical thinking kuanzia primary education
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.

Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.

Nawasilisha.

View attachment 1715271
Wewe unawacheka Republicans kumuabudu Trump!Kama ni kweli that is only one of the idols which many worship.Surely you have yours,it could be money,your job,your wife,your car,fashion etc.etc..Anything you love more than the true God is your God.Kwa hiyo usiwacheke.Na wewe kuna kitu unaki-worship.You will be a very spiritual man not to have one.
 
Ukiwaangalia waumini wa mzee wa Konyagi au Hawa wa mheshimiwa kiuno feni unasema watanzania tumerogwa lkn kumbe hata Marekani misukule ipo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].tofauti ya kiuno feni na mzee wa konyagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ok ngoja niongee kwa lugha rahisi. Hiyo picha ni ya kughushi. Hicho kitu hakipo. Kuna wachungaji hapo ambao ni wanaheshimika na Wakristo wengi na hawapendwi na media kma CNN kwa sababu ya support yao kwa DJT. Unadhani kirahisi tu waabudu sanamu na kusiwe na backlash?

Wana bodi zinazosimamia hayo makanisa. Unadhani wangeachwa waendelee kuchunga makanisa huku wakifanya upagani.

Kukusaidia kifupi ni kuwa 1. Picha ni feki 2. Tukifumbia macho na 1, kungekuwa na zogo sana Marekani kama ingekuwa kweli kwa sababu hao sio "watu wadogo"

Kama sijaeleweka mpaka hapo tubaki kutoelewana tu!
Hebu twende pamoja 👇🏿...
 
Huwezi kuwa na uwezo wa critical thinking ukamshabikia conman kama Trump, utakuwa sucker tu.
Kwa hiyo kusema ukweli kuwa picha ni ya kubumba ni kosa? Rudi shule darasa la kwanza B
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom