Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hizo ni imani za watu wengine ndugu..hata kama wako tafauti na wewe haimaniishi kwamba wewe upo sahihi katika imani yako hapana.Sisi sote tunaelekea mahali moja kwa njia tofauti hivyo hakuna sababu ya kuzua vurumai kwa binaadam wengine halafu wewe utarajie kuwa bora hapana. Heshimu mipaka yako juu ya shughuli za wengine uwapo duniani.Mimi sijazalau imani ya mtu mwingine,najalibu kulinganisha hivi vitu Kwa kizazi cha sasa hivi je vinauhalali wa kuwepo,au kutumika,inawezekana watu wengi wamechoshwa na hayo mambo ya sanamu lakini hawana pa kusemea
Mkuu wew ni kabila gani? Nikisema ni msukuma nakuwa sahihi au nimekosea? Au nikisema wewe ni Mataga je ni tusi kwako au ni sifa?Mimi sijazalau imani ya mtu mwingine,najalibu kulinganisha hivi vitu Kwa kizazi cha sasa hivi je vinauhalali wa kuwepo,au kutumika,inawezekana watu wengi wamechoshwa na hayo mambo ya sanamu lakini hawana pa kusemea
Damu ya Lissu inakutesa sana. Mtoaji roho ni Mungu tu.The same & one thing. No more, no less ~ alisikika akisema yuleee Mr Mzungu wa Belgium
Usikurupuke kwa vitu usivyojua.....Hivi hapo kuna tofauti na wale wenzangu Wakatoliki, naomba nisaidiwe kwa wajuzi wa mambo.
Hey you're in stealth mode I can't tract you.. Can you please turn on your transponder so that I can track you✌️Video ingefaa zaidi tujiridhishe pasi shaka kuwa ni ibada au wanaishangaa sanamu.
I will surely miss his hilarious jokes and comedy
Papaa MopaoDunia hadaa ulimwengu shujaa.
Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.
Nawasilisha.
View attachment 1715271
Na kuna jiwe la Macca nalo linaabudiwaMbona jiwe anaabudiwa
Usijitie kujua kila kitu.Ndio maana Watanzania tunadharaulika kwa kuwa simple minded. Hiyo picha ni Photoshop.
Ungekuwa unajua kidogo walau waliopo kwenye picha na kutumia chembe ya ubongo wako usingewapaka matope bure.
Chukua na hii kapige photoshop halafu useme Trump amekuwa mungu kabisa ili ufurahie zaidi
View attachment 1715344
Tumia akili kujua baadhi ya vitu!Usijitie kujua kila kitu.
Pole.
Bora hawa kuliko wasali jplHivi hapo kuna tofauti na wale wenzangu Wakatoliki, naomba nisaidiwe kwa wajuzi wa mambo.
Ebu nijulishe ndugu yangu,tofauti ya hizo sanamuUsikurupuke kwa vitu usivyojua.....
Kuna kuheshimu na kuelimishana,labda nikuulize kiundani kabisa,kuna mtu mwenye Image au sura sahihi ya Yesu na bikila Maria,na ni lini sanamu zilianza kutumika kanisani na Nani aliyeamuru,labda hujui ili tukuelewesheHizo ni imani za watu wengine ndugu..hata kama wako tafauti na wewe haimaniishi kwamba wewe upo sahihi katika imani yako hapana.Sisi sote tunaelekea mahali moja kwa njia tofauti hivyo hakuna sababu ya kuzua vurumai kwa binaadam wengine halafu wewe utarajie kuwa bora hapana. Heshimu mipaka yako juu ya shughuli za wengine uwapo duniani.
Mimi sio msukuma,ila nilikuwa mkatoliki nilibatizwa nikapata kitubio,kumunyo na kipaimara,mpaka ndoa.lakini haya mambo ya kuziheshimu sana tulizozichonga wenyewe na kubusu misalaba siku ya ijumaa kuu,na kumbusu mtoto Yesu ndivyo vilivyonishinda,Mkuu wew ni kabila gani? Nikisema ni msukuma nakuwa sahihi au nimekosea? Au nikisema wewe ni Mataga je ni tusi kwako au ni sifa?
Jibu murua.Ndio maana Watanzania tunadharaulika kwa kuwa simple minded. Hiyo picha ni Photoshop.
Ungekuwa unajua kidogo walau waliopo kwenye picha na kutumia chembe ya ubongo wako usingewapaka matope bure.
Chukua na hii kapige photoshop halafu useme Trump amekuwa mungu kabisa ili ufurahie zaidi
View attachment 1715344
Na wewe ulivyo kiazi mbatata unaamini kabisa hiyo picha ni real sio photoshop.Sasa wewe una akili gani kuwazidi wafuasi wa Trump??Trump amewafanya misukule. Aliwa radicalise kikamilifu.
Check hata watetezi wake wa humu JF akili zao zimeshayumba kabisa.