Hivi hapo kuna tofauti na wale wenzangu Wakatoliki, naomba nisaidiwe kwa wajuzi wa mambo.
Uwezo wa ku reason hawana kabisa wamekuwa social media crybabies,kila bandiko wakiwekewa wanakula kama lilivyo.Mtu anashinda kuangalia yale mashoga ya CNN ndio source yake ya habari,unafkiri atakuwa timam kweli??..Ndio maana Watanzania tunadharaulika kwa kuwa simple minded. Hiyo picha ni Photoshop.
Ungekuwa unajua kidogo walau waliopo kwenye picha na kutumia chembe ya ubongo wako usingewapaka matope bure.
Chukua na hii kapige photoshop halafu useme Trump amekuwa mungu kabisa ili ufurahie zaidi
View attachment 1715344
Subishani na ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉNa wewe ulivyo kiazi mbatata unaamini kabisa hiyo picha ni real sio photoshop.Sasa wewe una akili gani kuwazidi wafuasi wa Trump??
Pia hakuna tofauti na waislamu wanaoabudu mawe mawili meusi (Safaa na Marwa) yaliyopo ndani ya Kaaba huko Makka.Hivi hapo kuna tofauti na wale wenzangu Wakatoliki, naomba nisaidiwe kwa wajuzi wa mambo.
Trump amewafanya misukule. Aliwa radicalise kikamilifu.
Check hata watetezi wake wa humu JF akili zao zimeshayumba kabisa.
wanaabudu pesa za Trumph sio Trumph.
Naona unanihusudu mpaka unani-mention kwenye comment, Yes, baba yako Shetani namgaragaza kisawasawa, na bado. Anyway kuni-ridicule shishangai, ndizo mbinu mlizofundishwa na baba yenu Shetani kutukatisha tamaa wale informed, tunaofichua siri zake.We will not surrender, ndio kwaanza asubuhi.Republican imezidi kuwa cultish, wanachama wake wengi wamezidi kuzama kwenye conspiracy theories kama za areafiftyone
Hivi kuuza roho yako kwa Shetani imekusaidia nini,kupata fame na material goods halafu ukose mbingu?How stupid of you.Republican imezidi kuwa cultish, wanachama wake wengi wamezidi kuzama kwenye conspiracy theories kama za areafiftyone
Ok ngoja niongee kwa lugha rahisi. Hiyo picha ni ya kughushi. Hicho kitu hakipo. Kuna wachungaji hapo ambao ni wanaheshimika na Wakristo wengi na hawapendwi na media kma CNN kwa sababu ya support yao kwa DJT. Unadhani kirahisi tu waabudu sanamu na kusiwe na backlash?Bado sijakuelewa mpaka sasa, unakuwa mmoja wa watu mnaosababisha niendelee kusimamia msemo huu ...
"No research No right to speak"
Kuna haja ya kufundisha critical thinking kuanzia primary educationUwezo wa ku reason hawana kabisa wamekuwa social media crybabies,kila bandiko wakiwekewa wanakula kama lilivyo.Mtu anashinda kuangalia yale mashoga ya CNN ndio source yake ya habari,unafkiri atakuwa timam kweli??..
Sumu itawafaa panya. Tafuta panya anaitwa fool mpe sumu!
Wapi nimemtaja huyo Mzungu wako mimi!???Damu ya Lissu inakutesa sana. Mtoaji roho ni Mungu tu.
Huwezi kutoa roho ya binadamu mwenzio halafu ukawa na amani tu.
Wewe hata ya kununulia drinking water huna ๐Trump wala hana pesa za kutisha Wamarekani wengi
Wewe unawacheka Republicans kumuabudu Trump!Kama ni kweli that is only one of the idols which many worship.Surely you have yours,it could be money,your job,your wife,your car,fashion etc.etc..Anything you love more than the true God is your God.Kwa hiyo usiwacheke.Na wewe kuna kitu unaki-worship.You will be a very spiritual man not to have one.Dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.
Nawasilisha.
View attachment 1715271
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].tofauti ya kiuno feni na mzee wa konyagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ukiwaangalia waumini wa mzee wa Konyagi au Hawa wa mheshimiwa kiuno feni unasema watanzania tumerogwa lkn kumbe hata Marekani misukule ipo..
Hebu twende pamoja ๐๐ฟ...Ok ngoja niongee kwa lugha rahisi. Hiyo picha ni ya kughushi. Hicho kitu hakipo. Kuna wachungaji hapo ambao ni wanaheshimika na Wakristo wengi na hawapendwi na media kma CNN kwa sababu ya support yao kwa DJT. Unadhani kirahisi tu waabudu sanamu na kusiwe na backlash?
Wana bodi zinazosimamia hayo makanisa. Unadhani wangeachwa waendelee kuchunga makanisa huku wakifanya upagani.
Kukusaidia kifupi ni kuwa 1. Picha ni feki 2. Tukifumbia macho na 1, kungekuwa na zogo sana Marekani kama ingekuwa kweli kwa sababu hao sio "watu wadogo"
Kama sijaeleweka mpaka hapo tubaki kutoelewana tu!
Kuna haja ya kufundisha critical thinking kuanzia primary education
Kwa hiyo kusema ukweli kuwa picha ni ya kubumba ni kosa? Rudi shule darasa la kwanza BHuwezi kuwa na uwezo wa critical thinking ukamshabikia conman kama Trump, utakuwa sucker tu.