warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Staa wa filamu Bongo , Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake , akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee , anayemzidi umri kwa miaka saba .
Sapraizi hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo , Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa , kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo , aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya , akifanya Hip Hop .
Yeah , huyu ndiye mchumba wangu kipenzi , anaitwa Idd Mwalimu Mzee ingawa anajulikana kwa wengi kama Leo , ni msanii wa muziki , nampenda sana jamani japo ninamzidi umri kwa zaidi ya miaka saba , lakini umri siyo tatizo kabisa , alisema Riyama aliyekuwa akicheza na mtoto wake sebuleni , akiwa amekaa kimahaba na mahabuba wake huyo .
Riyama ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuigiza kwa umahiri karibu kila sehemu anayopangiwa , pia amejijengea heshima ya kutoandamwa na skendo za mapenzi kama walivyo mastaa wengine wa hadhi yake .