Picha: Riyama anaswa "LIVE"

Picha: Riyama anaswa "LIVE"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa filamu Bongo , Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake , akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee , anayemzidi umri kwa miaka saba .
‘Sapraizi ’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo , Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa , kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo , aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya , akifanya Hip Hop .
“Yeah , huyu ndiye mchumba wangu kipenzi , anaitwa Idd Mwalimu Mzee ingawa anajulikana kwa wengi kama Leo , ni msanii wa muziki , nampenda sana jamani japo ninamzidi umri kwa zaidi ya miaka saba , lakini umri siyo tatizo kabisa ,” alisema Riyama aliyekuwa akicheza na mtoto wake sebuleni , akiwa amekaa kimahaba na mahabuba wake huyo .
Riyama ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuigiza kwa umahiri karibu kila sehemu anayopangiwa , pia amejijengea heshima ya kutoandamwa na skendo za mapenzi kama walivyo mastaa wengine wa hadhi yake .
 
Attachments

  • 1441304530909.jpg
    1441304530909.jpg
    73.3 KB · Views: 4,482
Mmh riyama na wewe nakupenda ila ndo mwanaume gani huyo akii?? Ptuuu!! Mwanaume anataka mpaka boxer anunuliwe? Ni nini unatafuta? Ndoa au nn? Mtoto mzuri unaenda kuhangaika na wavuta bangi , hata kama mahaba hapana kwa kweli, pesa zenyewe unazomhonga mpaka upate elfu 20 za bongo movie, bado familia inakutegemea, mashost wamekusema wee kuhus huyo bwana wee kujitia mahaba niue uambilik pesa zote unahonga kwa bwana...ptuuu tutayaona
 
Uwiiiiiii hapana kwakweli! Haya mapenzi sijui yameingiliwa na kitu gani jamani!
Ona sasa Riyama anajishushia heshima yake hivihivi.
Japo tusiwahukumu ila kumpata kijana wa umri huo mwenye mapenzi ya dhati ni nadra sana.
Wengi wanawafuata hao mastar kutafuta kick ili wafanye vimiziki vyao uchwara kama Nuhu na Shishi.
 
Ulijuaje binamu? Ukimuona riyama anavyohangaika kumfanyia promo huyo kijana na kumhangaikia mpaka utamuonea huruma kisa mahaba mxieew apelek huko upuuzi...yan hapo riyama ndio kaoa...kila kitu anahudumia
 
Binamu hicho kivulana sio kile kilichoimba okelo wa show?
Yaani siasa hizi hata habari za mujini sizijui tena.
Sasa hivi wanawake sijui wamejua nini!
Lakini hata sisi wasichana hatutaki vivulana hivyo ngoma draw.
 
Mmh riyama na wewe nakupenda ila ndo mwanaume gani huyo akii?? Ptuuu!! Mwanaume anataka mpaka boxer anunuliwe? Ni nini unatafuta? Ndoa au nn? Mtoto mzuri unaenda kuhangaika na wavuta bangi , hata kama mahaba hapana kwa kweli, pesa zenyewe unazomhonga mpaka upate elfu 20 za bongo movie, bado familia inakutegemea, mashost wamekusema wee kuhus huyo bwana wee kujitia mahaba niue uambilik pesa zote unahonga kwa bwana...ptuuu tutayaona

Jamani,mwenzenu ndo ameshapenda na kutangaza nia,kila mtu ana uhuru wa kuwa na mpenzi amtakaye....
 
Embu mwacheni mwenzenu. Wanawake mbona hampendani hivyo.kapata mkunaji wacha akunwe . angebaki alone mngesema huyu anazeeeka tu hataki bwana.ukiona ameangukia hapo inamaana hao mnaowataka awe nao hawamfuati
Na kama mnampenda sana riyama na kumtakia mema basi si mna makaka? Mpeni mmoja atulie
 
Binamu hicho kivulana sio kile kilichoimba okelo wa show?
Yaani siasa hizi hata habari za mujini sizijui tena.
Sasa hivi wanawake sijui wamejua nini!
Lakini hata sisi wasichana hatutaki vivulana hivyo ngoma draw.

baada ya uchaguzi nitakutafuta nami unilee, ngoja kwanza tupambane kwa ajili ya tz
 
Wazee wanatuibia wasichana wetu, nasisi bora tuwaibe wamama....ila wamama wanamambo mazuri wanatufanya tunatulia na kufa nya kazi fresh eg daimond, nuh, na vjana wengne wengi wasiokuwa maarufu
 
Embu mwacheni mwenzenu. Wanawake mbona hampendani hivyo.kapata mkunaji wacha akunwe . angebaki alone mngesema huyu anazeeeka tu hataki bwana.ukiona ameangukia hapo inamaana hao mnaowataka awe nao hawamfuati
Na kama mnampenda sana riyama na kumtakia mema basi si mna makaka? Mpeni mmoja atulie

Mkuu wanawake wa hili jukwaa sijui wanaroho gani....kila uzi unao letwa either mtu kavikwa pete au kafunga ndoa hawaishi kumsema vibaya...
Wanawake kwanini mna hii tabia? wolper kasemwa..yule mwanamitindio mwembamba alisemwa humu..
sio wote lakini
 
baada ya uchaguzi nitakutafuta nami unilee, ngoja kwanza tupambane kwa ajili ya tz
Heeee! Hebu nitolee balaa lako hapa.Katafute jimama likulee huko mie wa nini wewe?
Kino kwenu hapo yamejaa tele, ukikosa shuka migomigo.
Mapambano yako palepale homie, tuendelee na kazo porojo tuwaachie Slaa & lipumba.
 
Wazee wanatuibia wasichana wetu, nasisi bora tuwaibe wamama....ila wamama wanamambo mazuri wanatufanya tunatulia na kufa nya kazi fresh eg daimond, nuh, na vjana wengne wengi wasiokuwa maarufu
Hata kwa maneno ambayo huwa nasikia kutoka kwa marafiki wanasema wababa wako vizuri sana, no stress na wanajua kujali.
Nyie nendeni tu wala hamtutishi.
 
Mkuu wanawake wa hili jukwaa sijui wanaroho gani....kila uzi unao letwa either mtu kavikwa pete au kafunga ndoa hawaishi kumsema vibaya...
Wanawake kwanini mna hii tabia? wolper kasemwa..yule mwanamitindio mwembamba alisemwa humu..
sio wote lakini
Hahahaaaaa ngoja nijisalimishe! !!!!
Mimi Wolper nilimsifia na kumpigania sana kwakweli ila hao wengine chenga tu.
Imagine Meyninah......mhhhhh sitaki jela mie ngoja nikae kimya.
 
Hata kwa maneno ambayo huwa nasikia kutoka kwa marafiki wanasema wababa wako vizuri sana, no stress na wanajua kujali.
Nyie nendeni tu wala hamtutishi.

Hawana kitu wale zaidi ya pesa....na pia sio wasumbufu kama sisi vjana mara tuchokonoe simu, na usumbufu wa kawaida,
 
Back
Top Bottom