Picha: Riyama anaswa "LIVE"

Picha: Riyama anaswa "LIVE"

Hawana kitu wale zaidi ya pesa....na pia sio wasumbufu kama sisi vjana mara tuchokonoe simu, na usumbufu wa kawaida,
Sasa pesa si ndio kila kitu jamani! Halafu mambo mengine kwa heshima na taadhima siwezi kuyasema ila vijana mmepigwa bao sana.
Ndio maana vijana hawaoi siku hizi maana nani anataka shida?
Ila binti kuolewa na mbaba wako aaahhh raha tu.
 
Sawa sawa itakuwa busara namimi katika huu umri wa twenth nitafute pesa sana ili baadae niwe kama hao wazee ambao wanapendwa now.. maana walivyokuwa kama sis now walikuwa masikin tuu
 
Mie mpaka home wanajua....nina mcheza kiduku ananikuna mpaka najihisi naelea hewani.
Yaani akipanda anashuka baada ya dk 45....siri tunaijua sisi.

Sasa ninyi bebeni wazee...mmalizie ujana eda

Hahahaaaaa Madame B una vituko sana.
Hongera zako mwenzangu na mcheza kiduku wako.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa Madame B una vituko sana.
Hongera zako mwenzangu na mcheza kiduku wako.

Asante....raha ya ile kitu 'umwage' sio unaachwa mkavu.
Mie wazee naenda kuwachuna tu..'serengeti' watamu sana kama muwa.
 
Last edited by a moderator:
Heeee! Hebu nitolee balaa lako hapa.Katafute jimama likulee huko mie wa nini wewe?
Kino kwenu hapo yamejaa tele, ukikosa shuka migomigo.
Mapambano yako palepale homie, tuendelee na kazo porojo tuwaachie Slaa & lipumba.

Nifaa i swear ill take a grenade for u

Ill jisslaaa kwa ajili yako babe
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom