MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Hamjapata wa kuwakuna vizuri ndio maana mnatusema vibaya
Duuh Shem?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjapata wa kuwakuna vizuri ndio maana mnatusema vibaya
Sasa pesa si ndio kila kitu jamani! Halafu mambo mengine kwa heshima na taadhima siwezi kuyasema ila vijana mmepigwa bao sana.Hawana kitu wale zaidi ya pesa....na pia sio wasumbufu kama sisi vjana mara tuchokonoe simu, na usumbufu wa kawaida,
Sasa pesa si ndio kila kitu jamani! Halafu mambo mengine kwa heshima na taadhima siwezi kuyasema ila vijana mmepigwa bao sana.
Ndio maana vijana hawaoi siku hizi maana nani anataka shida?
Ila binti kuolewa na mbaba wako aaahhh raha tu.
Zari, shilole, riyama, wema....hili collabo wanaweza kufungua kituo cha kulea vijana(marioo)
Kwani jina la mama tifa halipo hapo?labda umuongeze na MarianaPlus domo...a baby to Mama tiffah
Nilikusahau : zari, shilole, riyama, wema na Madame B
Plus domo...a baby to Mama tiffah
Mie mpaka home wanajua....nina mcheza kiduku ananikuna mpaka najihisi naelea hewani.
Yaani akipanda anashuka baada ya dk 45....siri tunaijua sisi.
Sasa ninyi bebeni wazee...mmalizie ujana eda
Mhhhh! Mhhhh!Asante....raha ya ile kitu 'umwage' sio unaachwa mkavu.
Mie wazee naenda kuwachuna tu..'serengeti' watamu sana kama muwa.
Heeee! Hebu nitolee balaa lako hapa.Katafute jimama likulee huko mie wa nini wewe?
Kino kwenu hapo yamejaa tele, ukikosa shuka migomigo.
Mapambano yako palepale homie, tuendelee na kazo porojo tuwaachie Slaa & lipumba.
Nifaa i swear ill take a grenade for u
Ill jisslaaa kwa ajili yako babe
Lol! Hata useme utakula MIHOGO for me sitakiiiiii!
Hamjapata wa kuwakuna vizuri ndio maana mnatusema vibaya