Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu
asante...
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu
KANTANGAZE, wanatunukishia tu apa maushuzi k lyn na mengi ndo habar ya mujini, ndomo na mama ubaya wakaogee
Mi nishawachokaa nimehamia kwa kwa kaka Mengi na dada klyn ,hhhhaaaaaa(nimekuigiliza hako kamsemo ka kaka
Halafu binamu tupange siku tukamsalimie dada k-lyn aka bosslady halaf unajua toka ajifungue sijaenda kumuona mwenzio? Twende mwenzangu tukampe na umbea wa mama ubaya na ndomo maana bibi yule nae kwa umbea anapenda kiama, anakwambia ukienda kumuona bora uende mikono mitupu kuliko kutoenda na umbea, yani binam siku iz kila mtu mbea mweh
Hahhhhhhaaaaaa binamu tutaendaje hapo si tutakomea getini we anakufahamu kwanii,mmmh sasa hiv wenzio wapo sijui ulaya wanakula rahaa mwanzo mwishoo, kumbe nae anapenda umbeaa kiamaas sikujuaaa aiseeee
Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa
Hahahaha we warumi una kipaji hakika! Daaa nimecheka sana daa!Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa
Ila wamependeza uongo dhambi
Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa
hahaha uliandikaje Heaven