Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu

skujua kumbe dini yao inaruhusu wachumba au watu ambao hawajaoana kukaribiana ivo duh. Manake wapo kwa mfungo hawa wanafuturu huku wamepakatana shame on them si bora waoane kukata mziz wa fitna ili iwe haki yao
 
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu

Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi. Meipenda hiii
 
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu

KANTANGAZE, wanatunukishia tu apa maushuzi k lyn na mengi ndo habar ya mujini, ndomo na mama ubaya wakaogee
 
ImageUploadedByJamiiForums1405605939.268155.jpg
 
KANTANGAZE, wanatunukishia tu apa maushuzi k lyn na mengi ndo habar ya mujini, ndomo na mama ubaya wakaogee

Mi nishawachokaa nimehamia kwa kwa kaka Mengi na dada klyn ,hhhhaaaaaa(nimekuigiliza hako kamsemo ka kaka
 
Halafu binamu tupange siku tukamsalimie dada k-lyn aka bosslady halaf unajua toka ajifungue sijaenda kumuona mwenzio? Twende mwenzangu tukampe na umbea wa mama ubaya na ndomo maana bibi yule nae kwa umbea anapenda kiama, anakwambia ukienda kumuona bora uende mikono mitupu kuliko kutoenda na umbea, yani binam siku iz kila mtu mbea mweh
 
Hahhhhhhaaaaaa binamu tutaendaje hapo si tutakomea getini we anakufahamu kwanii,mmmh sasa hiv wenzio wapo sijui ulaya wanakula rahaa mwanzo mwishoo, kumbe nae anapenda umbeaa kiamaas sikujuaaa aiseeee
 
Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa
 
Mie nitaomba kuwa mhasibu wa shule

Hahahaha we warumi una kipaji hakika! Daaa nimecheka sana daa!
 
Hawa jamaa maisha yao bila camera hayaendi kabisa!
 
Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa

Heee kwa hiyo wanaishi wao tu na wafanyakazi basiii,kwa hiyo bina.. we hapo shule utaajiriwa kazi gani kufundisha au??? Shule ishafunguliwaa au bado,,kumbe ukimponda madam ritha roho yake kwatuuuu,,sasa bina.. Mengi hapendi watu kwanini hadi ndugu??na jokate kweli ashawah kua na Mengii sasa ina maana bado wanamuibiaa au anahofia tu!!!!!!basi umbea wako unalipa loo hongeraaaa
 
Mr nice naye alikuwa anapiga picha ovyo ovyo hivi hivi...tena enzi hizo smart phone hamna leo jalala!
Jitazameni vijana!
 
Hivi hawa wehu kipindi hiki cha Mfungo bado wanalala pamoja?Inaruhusiwa kweli kah..b.. Si atatengua swaumu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom