Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu


Hahaha binamu kwa umbea tu nimekupa salute, umeshindikana kiama. Nimecheka balaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mmmh! Wewe ni balaa.... nimekuvulia kofia i wish to know you mlokole uliyeshindwa kuacha dhambi ya umbea
 
Hahahaha we warumi una kipaji hakika! Daaa nimecheka sana daa!

Huyu sijui ni binti sijui mama yaani ni balaa, jf kuna watu lkn warumi ni namba nyingine. itafika wakati hata ban watakuwa hawampigi
 
Chezea Warumi aka binamu ww

Hahaaa haaaa nakupenda bure kwa habar tu tishaaa sn
 
Mi hiyo picha ya mwisho sijamwelewa Diamond; mbona ametuwekea alama za free mason? Angalia alivyokunja vidole.
 

Hahahahaaaa!! Nimejikuta nacheka wallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…