Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu

Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu

Halafu binamu tupange siku tukamsalimie dada k-lyn aka bosslady halaf unajua toka ajifungue sijaenda kumuona mwenzio? Twende mwenzangu tukampe na umbea wa mama ubaya na ndomo maana bibi yule nae kwa umbea anapenda kiama, anakwambia ukienda kumuona bora uende mikono mitupu kuliko kutoenda na umbea, yani binam siku iz kila mtu mbea mweh

Hahaha binamu kwa umbea tu nimekupa salute, umeshindikana kiama. Nimecheka balaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Halafu binamu tupange siku tukamsalimie dada k-lyn aka bosslady halaf unajua toka ajifungue sijaenda kumuona mwenzio? Twende mwenzangu tukampe na umbea wa mama ubaya na ndomo maana bibi yule nae kwa umbea anapenda kiama, anakwambia ukienda kumuona bora uende mikono mitupu kuliko kutoenda na umbea, yani binam siku iz kila mtu mbea mweh

Mmmh! Wewe ni balaa.... nimekuvulia kofia i wish to know you mlokole uliyeshindwa kuacha dhambi ya umbea
 
Hahahaha we warumi una kipaji hakika! Daaa nimecheka sana daa!

Huyu sijui ni binti sijui mama yaani ni balaa, jf kuna watu lkn warumi ni namba nyingine. itafika wakati hata ban watakuwa hawampigi
 
Chezea Warumi aka binamu ww

Hahaaa haaaa nakupenda bure kwa habar tu tishaaa sn
 
Mi hiyo picha ya mwisho sijamwelewa Diamond; mbona ametuwekea alama za free mason? Angalia alivyokunja vidole.
 
Ntakupeleka tutaenda ila iwe kati kati ya wiki maana mzee mengi hapendag watu kwake hata ndugu ,sema mkewe ndo umbea umemzidi, ukitaka uwe best wa k-lyn mponde madam ritha na jokate wee mbona mtapatana mwenzio nshahaidiwa ajira ya kudumu kwenye shule anayojenga dada k-lynn mbona watakoma mtaa wa pili? Umbea unalipa binamu mjini apa

Hahahahaaaa!! Nimejikuta nacheka wallah!
 
Back
Top Bottom