Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu

Picha saba za Diamond na Wema walizopiga mara baada ya kufuturu ndani ya mwezi huu mtukufu

CHANZO

Senior Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
151
Reaction score
47
KWAHISANI YA DOMOZEGE.COM
attachment.php

WEMA NA DIAMOND23.jpg
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Leo chungu cha 19 Inshaallah
 
Attachments

  • WEMA NA DIAMOND34.jpg
    WEMA NA DIAMOND34.jpg
    45 KB · Views: 10,642
  • WEMA NA DIAMON67.jpg
    WEMA NA DIAMON67.jpg
    44.8 KB · Views: 10,327
  • WEMA NA DIAMON34.jpg
    WEMA NA DIAMON34.jpg
    46.6 KB · Views: 10,154
  • WEMA NA DIAMON31.jpg
    WEMA NA DIAMON31.jpg
    39.6 KB · Views: 12,209
  • DIA.jpg
    DIA.jpg
    42.5 KB · Views: 9,916
Na tuache movie iendelee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naona Diamond kakolea hasa kwa Wema. Wafanye waoane basi jamani.
 
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu
 
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu
...................mweh!........
 
wakitaka waonane kama paka na panya waoane zile kero za ndoa zinapoanza!!!
 
Jamani Daimond kafanana na Wema zamani alikua mbayaa khaa!!!watupisheeer habari ya mjini ni mzee MENGI na KLYN nyie wema na domo mnatuchosha tu hamna pesa kwanza umaarufu ushuziii tu

hhahahhhaaaaa....!
 
Back
Top Bottom