Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

Utopolo hiihii ambayo hawajiamini mpaka wawapangie timu pinzani wanazodhamini vikosiπŸ˜‚, mpaka hizo timu mnazodhamini ziwatafutie magoli ? Siku hii ligi ifungiwe kwa match fixing ndo akili ziwakae sawa
 
Somesheni watoto shule bora za private, achaneni na mawazo mgando ya mleta mada LIKUD
Ur mindset has stuck in my previous threads.

Hapa naongea kuhusu Kayumba?

Ndio maana unajiita Lupweko
 
Sisi mashabiki wa simba tunajisikia aibu kubwa sana kwa viongozi wetu kutaka kuweka mpira kwapani. Bora tukafungwe tu, ila siyo kuwakimbia watani wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…