Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Hivi mpira ungekuwa ni uchawi, basi Nigeria si wangeshinda World Cup. Mbona mna-kuwa na akili ndogo hivyo.
Ifike mahali tubadilike na tuanze kuamini kwenye vitu vya msingi kama Good Training Facility, Good Coaching Team, Good Playing Ground, Good Football Management Structure, Good Investment in Youth Soccer, Good Players Wages, Good Players Accomodation and so on. Hapo kwa nini usiwe Champion, ili uwe bingwa inahitaji Investments katika kila field ya mpira wa miguu ndipo mafanikio yalipo na sio uchawi.