Unajuaje km sio mama kajipendekeza or vice-versa pekee? Who knows mambo ya chumbani?Jamaa kujipendekeza kumemtoa
Na hili ndio lengo la mleta uzi tupewe kesi ya uhaini.Hivi ni wanawake wote mnapenda kukumbatiwa na watu baki, au ni wachache wenu tu!
Nikizikimbuka na zile picha za yule Bongenyanya wa Zimbabwe, nakosa kabisa majibu!
nukuu kutoka kwa wahenga........mapenzi hayachaguia umri
picture za kutengeneza
Ushungi kaanza kuvaa baada ya kuwa makamu wa raisMbona kwenye picha hii huyu mama hana ushungi; je kauanzia ukubwani?
IA au AI utajua mwenyewepicture za kutengeneza
Akili za haters wa Samia nahisi zimechanganyika na vichembe vya mavi ya lissu au lema.Na sasa hivi Makonda amekuwa mwanamtandao rasmi na ni baada ya kutoa password kwa wanamtandao waliomuua JPM.
Link yakeJuma Nature