M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Ukisema unampenda utapungukiwa nini? Hizo picha zinadhalilisha wapi?Simpendi huyo mtu lakini sizipendi siasa za kumvunjia heshima mtu mzima wa umri huo.
Huyo mzazi, mke na bibi wa watu ambao hawastahili kuumizwa kwa kudhalilishwa ndugu yao.
Haki izingatiwe kotekote. Tusidai haki huku hatuzingatii za wengine.
Unaweza kusoma 10 previous comments nilizotuma JF utaona nisivyo mpenda.Ukisema unampenda utapungukiwa nini? Hizo picha zinadhalilisha wapi?
Tuwekee halisipicture za kutengeneza/
Hapana. Samia ni mke wa 3
Halisi zipo nying tuTuwekee halisi
Hata hizo ni halisi hakuna AI hapo mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye hilo tukio. Usidandie gari kwa mbele dogo .Halisi zipo nying tu
Mna wivu ht kwa mambo ambayo hamna uwezo nayo...
Je walijuwa watakuja kuwa wauaji?
Mimi baba yako mpumbavu wewe!huna adabu kumbeHata hizo ni halisi hakuna AI hapo mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye hilo tukio. Usidandie gari kwa mbele dogo .
Hata ******* huzeekaMimi baba yako mpumbavu wewe!huna adabu kumbe