Picha: Samia na Makonda wametoka mbali! Una maoni gani?

Samia nadhani ni mke wa pili wa yule jamaa,First Gentleman.
Nakumbuka Kabudi alifukuzwa kazi kwa kusema,"Ndio leo
nimesikia kuhusu 'Fist Gentleman '"
Sasa labda yule jamaa hamtoshelezi.
Sasa sijui nitafunguliwa kesi ya uhaini?
 
Juma Necha naye akumbukwe basi:
Katika teuzi maana rafiki wa kweli ni vema naye akajisevia kaulaji japo ukuu wa Kawilaya kapya kapya hivi 🤣🤣🤣
 
Juma Necha naye akumbukwe basi:
Katika teuzi maana rafiki wa kweli ni vema naye akajisevia kaulaji japo ukuu wa Kawilaya kapya kapya hivi 🤣🤣🤣
Na Stan Bakora naye pia akumbukwe maana naye alikumbatia manyonyo
 
Simpendi huyo mtu lakini sizipendi siasa za kumvunjia heshima mtu mzima wa umri huo.
Huyo mzazi, mke na bibi wa watu ambao hawastahili kuumizwa kwa kudhalilishwa ndugu yao.
Haki izingatiwe kotekote. Tusidai haki huku hatuzingatii za wengine.
 
Lakini mjue Makonda ni rika la Wanu wakuu, haya mnayosema yana ukweli gani!!
Yana ukweli kwa asilimia kubwa kwa tuliokuwa tukiyasikia kabla hata hajawa maarufu kwa raia, hata Mwigulu pia. Age is just number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…