PICHA:.Send-off party ya Elizabeth wa BBA

PICHA:.Send-off party ya Elizabeth wa BBA

Wamependeza jamani......i like Kelvin but ndo ivyo bwana,all good men are taken........lOL
 
Ambao mnakuwa wachumba miaka nenda rudi kwa kigezo mnachunguzana jifunzeni, fungeni ndoa jamani huo unaitwa uchumba sugu!!!!!!!!!!
 

Send off ilikuwa si mchezo ilifanyika 2/Jan./2011 na Kitchen Paty 31 Dec. 2010

Msela Kevin aliingia kwenye kitchen party kapiga Jeans na sio pasna kama tulivyozoea
Wadau walimtunza mwali na NAira pekee sio madafu wala dolari
jamaa alikula tape laivu ukumbini na kuperform pia...


ELIZABETH GUPTA'S KICTHEN PARTY PHOTOS 31 Dec. 2010
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


ELIZABETH GUPTA's SEND-OFF PARTY PHOTOS 2/Jan./2011
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Wamependeza sana, wapendeze na kwenye ndoa yao pia maana mastaa nao kwa kuchakachua ndoa!
 
Huu ndo upendo na mapenz tunayoyataka, ndoa ndo muhimu. We can see then attaininge their dreams. Good job siyo kumegana tu kisha kupigana chini as if walikuwa kwenye majaribio!

Waambie Mkuu, maadili na miendo ya kiafrika hawana kabisa kizazi hichi kipya!!!!!!
 
Kila la heri.Jamaa yake anaonekana mstaarabu tofauti na njemba nyingine za west.
 
Hongera sana Elizabeth. nakutakia all the best katika maisha mapya unayoenda kuyaanza.
 
wapiiiiiiiiiiii mwisho mwampambaaaaaaaaaaa na wifi yetuuuuuuuuuuuuuu
 
kwa hiyo kelvin mroho au? mpaka amevizia msosi ni noma babake
 
kila la kheri Eliza mumeo anaelekea ni mstaarabu..ukamtunze!
 
Back
Top Bottom