PICHA:.Send-off party ya Elizabeth wa BBA

PICHA:.Send-off party ya Elizabeth wa BBA

4.jpg
34.jpg
32.jpg
32.jpg
 
HIVI WADAU HII MAMBO ILIKUWA WAPI ? HAPA BONGO AU ILIIFANYIKA NIGER? Maana naona BOX La AZAM JUICE ?
 
Ila binti inabidi akawe mvumilivu sana vyakula vingi vinawekwa pilipili nyingi sana
 
Wanaonesha wanapendana sana. Tuwape chance..hii haijakaa ki-gold digger. Naona wako madly in love.
 
Hongera sana kwa KELIZ.. Merylisho sijui ndoa imeishia wapi..
 
kwakweli wamependeza wapo juu no comment wakosoaji cjui kama wananafasi hapo du
 
Kwa kweli ni raha tu kuziangalia wala huchoki wamependeza mno. Hongera sana Eliza.
 
mbona wanawake wengi ma OVER WEIGHT?

Kwa standards za wanigeria naona HAKUNA HATA US DOLLARS?

Halafu hizi siku hizi DAR hakuna wanawake weusi?
 
Noo hizo pics ni za kitchen party na bwana harusi alivamia tuu, This is send off iliokuwa jana... cheki walivongaraa hapa chini..






Ilikuwa party ya kufa mtu pale diamond jubileee.....

Ni kweli mkuu nilikosea, thanks
 
Back
Top Bottom