Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Jan 4, 2011 Thread starter #41
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Jan 4, 2011 Thread starter #42
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Jan 4, 2011 Thread starter #43
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Jan 4, 2011 Thread starter #44 Wadau mbali mbali wa mujini walikuwepo pia...
MkimbizwaMbio JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 868 Reaction score 331 Jan 4, 2011 #45 Nina mashaka na hii ndoa. Hebu tusubiri
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 408 Jan 4, 2011 #46 DJ BABU said: yaani msela katuzidi kete majanki wa kibongo? Click to expand... Habari ndio hiyo.,lakini bongo mbona warembo wengi tu, mwache binti "akawakilishe taifa huko Naija"
DJ BABU said: yaani msela katuzidi kete majanki wa kibongo? Click to expand... Habari ndio hiyo.,lakini bongo mbona warembo wengi tu, mwache binti "akawakilishe taifa huko Naija"
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Jan 4, 2011 #47 HIVI WADAU HII MAMBO ILIKUWA WAPI ? HAPA BONGO AU ILIIFANYIKA NIGER? Maana naona BOX La AZAM JUICE ?
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Jan 4, 2011 #48 usiwe na shaka
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Jan 4, 2011 #49 Ila binti inabidi akawe mvumilivu sana vyakula vingi vinawekwa pilipili nyingi sana
W Waukweli Kabisa New Member Joined Jan 4, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Jan 4, 2011 #50 Walipendeza kiukweli.... M happy for them....
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Jan 4, 2011 #51 Hongeren
L Leornado JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,529 Reaction score 198 Jan 4, 2011 #53 Wanaonesha wanapendana sana. Tuwape chance..hii haijakaa ki-gold digger. Naona wako madly in love.
Safari Member Joined Dec 14, 2007 Posts 84 Reaction score 6 Jan 4, 2011 #54 Hongera sana kwa KELIZ.. Merylisho sijui ndoa imeishia wapi..
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Jan 5, 2011 #55 kwakweli wamependeza wapo juu no comment wakosoaji cjui kama wananafasi hapo du
Chauro JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 2,968 Reaction score 1,478 Jan 5, 2011 #56 how do measure true love? kwenye picha neh nawatakia kila la heri Nsiande said: Kwakweli this is true love, hope TBC will tape it in their Chereko progrm Click to expand...
how do measure true love? kwenye picha neh nawatakia kila la heri Nsiande said: Kwakweli this is true love, hope TBC will tape it in their Chereko progrm Click to expand...
B Bi. Mkora JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 374 Reaction score 60 Jan 6, 2011 #57 Kwa kweli ni raha tu kuziangalia wala huchoki wamependeza mno. Hongera sana Eliza.
W wimbi la mbele JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 647 Reaction score 266 Jan 6, 2011 #58 mbona wanawake wengi ma OVER WEIGHT? Kwa standards za wanigeria naona HAKUNA HATA US DOLLARS? Halafu hizi siku hizi DAR hakuna wanawake weusi?
mbona wanawake wengi ma OVER WEIGHT? Kwa standards za wanigeria naona HAKUNA HATA US DOLLARS? Halafu hizi siku hizi DAR hakuna wanawake weusi?
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Jan 6, 2011 #60 Leornado said: Noo hizo pics ni za kitchen party na bwana harusi alivamia tuu, This is send off iliokuwa jana... cheki walivongaraa hapa chini.. Ilikuwa party ya kufa mtu pale diamond jubileee..... Click to expand... Ni kweli mkuu nilikosea, thanks
Leornado said: Noo hizo pics ni za kitchen party na bwana harusi alivamia tuu, This is send off iliokuwa jana... cheki walivongaraa hapa chini.. Ilikuwa party ya kufa mtu pale diamond jubileee..... Click to expand... Ni kweli mkuu nilikosea, thanks