Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

sema anakitambi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu nilishaakaa nae sehemu ni balaa zito,wahuni walishamzalishaga kipindi hana msambwanda,ila ni machine moja nyoko sana
Ila sikupenda vikope vyake vya kubandika inaonesha amekulia uswahilini insta ndio inampa umaarufu

Namjua kitambo huyu binti kwao ni mitaa ya Manzese /Mabibo hivi na ni kweli ana mtoto wa kiume na kwa sasa ana duka pale kama unakata kona ya kwenda Lion Hotel Sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…