Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

Tatizo wadada huchukua sura za baba yao,ona shangazi Maria Sarungi ana pua kubwa kuliko hata ile ya Baba yake.
 
Kiyama yaja.
Kama ilivyoku2a siku za Nuhu
Ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu

Zinaaa zinaaaa itakuwa ndio dili kuu
 
Mwanamke asiye na Kitambi huyu sio Mwanamke ni Mtoto wa Shule tu...
 
Dah asee uyu manzi aliniomba urafiki mwaka Jana FB kumbe ni star nae
 
Namuona Instagram ni mmiliki wa duka
Lakini telegram anauzwa kwa laki moja tu..
Sijawahi elewa wapi ndo kuna ukweli..

Same with sanchoka
Telegram anauzwa
Instagram ni star..

Sijawahi elewa wapi ndo uongo wapi ukweli
Tutajie channel mkuu kwa telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…