Picha: Shaq O'Neal Miaka 52 akila maisha na Mpenzi wake mwenye miaka 21 wakilaaisha Hispania

Picha: Shaq O'Neal Miaka 52 akila maisha na Mpenzi wake mwenye miaka 21 wakilaaisha Hispania

Nimependa ulivyo mkweli. Mwingine angejizungusha na uongo mrefu. Huku uhalisia anaujua

Hata mimi dada yangu ningemshauri akubali tu.

Hakuna faida ya kukataa.. halafu unaliwa bure na kupigwa matukio na mabishoo wa mtaani
Hakuna demu wa kumkataa shaq duniani...alishavuka hiyo level...hata kesho akienda kuangalia game ya LA pale Crypto.com Arena anauwezo wakung'oa mwanamke yeyote alokaa front raw seat...HAKUNA NAMNA TUTAFUTE PESA
 
Hapa ni mcheza kikapu maarufu Shaq O'Neal mwenye miaka 52 akiwa nchini Hispania na mpenzi wake mwenye miaka 21 wakila maisha.
Usishangae hio wewe kuna kiongozi wa Nchi fulani akiwa na miaka 59 alioa binti wa miaka 15, kwa hio sio jambo geni sana ulimwenguni hata wewe unaweza ukiamua hata ukiwa na miaka 60 ukaoa wa miaka 9 km walivyoamua ndugu zetu katika Imani kule Iraq kwenye Bunge lao
 
Back
Top Bottom