Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Excellent mbona umefunga mlango.....nimebisha hodi saana hamna wanashangaa why i'm late kuona hii reply
kunifungulia na funguo sijui umeweka wapi!!!!!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excellent mbona umefunga mlango.....nimebisha hodi saana hamna wanashangaa why i'm late kuona hii reply
So colabo ni ya jenifa ropezi na sio jlo wa usa au alimaanisha sintah mana nasikia naye anaitwa jlo
ohh yes nadhani ningelala fofofo siku hiyo. Namiss sana usingizi wangu wa utotoni.
Tena inaonekana jamaa hajapata dozi tangu abale.he check ....
![]()
Na hii chini ni style gani...kampeni ya kusagana?
![]()
So colabo ni ya jenifa ropezi na sio jlo wa usa au alimaanisha sintah mana nasikia naye anaitwa jlo
My dr...sis...shilole ni mzuri sifa apewe tatizo lake ni mswahili sana...bt iwish angepitia maisha mazur...tungekua tunaongelea level nyengine nw....bt ndio hivyo tena
Hiz screen hiz zinawadanganya wengi sana ambao hamjawaona hawa watu face to face,labda me ndie cjui kupima uzuri but hakuna kitu pale ana rangi mbili miguun ni kama mkorogo ulikataa vile