Pamoja na magumu anayopitia Mwamba anaonyesha tabasamu linalowaumiza watesi wake.Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
View attachment 3441324
Ilitoke jela anasema jela ni maumivu makaliUmeelewa maana ya kutaka kesi isikilizwe haraka?8
Pia ni mwalimu.wa sheria wanafunzi wake hawa hapa.Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
View attachment 3441324
Mna dili na kichaa tu.Tundu Lissu hana ushujaa wowote ni tatizo la afya ya akili tu ndio linamsumbua na wasaidizi wake wanamdanganya.Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
View attachment 3441324
Huyu jamaa ana wakati mgumu sana ndio vile tu anabebwa na HakimuPia ni mwalimu.wa sheria wanafunzi wake hawa hapa.
View attachment 3441341
Iko vile ni maumivu makali ! Lakini Waswahili wa pwani Wanasemaga “ Likikupata Patana nalo “ 😳 !Ilitoke jela anasema jela ni maumivu makali
USSR
Hawana la kusema,huu mchongo haupo milele!Mungu atasimama kwa HAKI!Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
View attachment 3441324
We inasemaje mchizi?!!Ilitoke jela anasema jela ni maumivu makali
USSR
Tumeambiwa yule askari gereza aliyemsukuma alidedi na kazikwa juzi kati.
Na nyie kama mna nguvu yote hiyo mnatishikaje na Lissu asiyekuwa na chochote mpaka kumfungia??Unaezaje kuiondoa CCM kwa kuitisha wakati yenyewe ina dola na kila kitu.