Picha: Shujaa aliyetayari kunyongwa kwa ajili ya taifa lake

yes
 

Attachments

  • 1747656684574.png
    347.9 KB · Views: 18
Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake

View attachment 3441324
Mna dili na kichaa tu.Tundu Lissu hana ushujaa wowote ni tatizo la afya ya akili tu ndio linamsumbua na wasaidizi wake wanamdanganya.
Masai huwa wanaua Simba lakini kwa mbinu sio kizembe kizembe tu.
Unaezaje kuiondoa CCM kwa kuitisha wakati yenyewe ina dola na kila kitu.
Kwa kukosa kwenu akili mlishindwa kutumia maarifa kuoambana na ccm mkaanza vitisho kukinukisha.
Na kwa kujiona mashupavu hamuamini kwenye mazungumzo ( nyie mnaita kulamba asali)
Na mnaona aibu kwa sababu mliyemuondoa alitumia mbinu ya kukubali mazungumzo mkamwita mlamba asali.
Ufalme ukijifitini wenyewe,basis huo ufalme umekwisha anguka!
 
Wajaribu tu hata kumhukumu, ili na wahusika nao wavune walichopanda kutoka kwa wananchi aina ya Hamza, wasioweza kuvumilia uonevu uliopitiliza kutoka kwa watawala waonevu na wadhulumati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…